Mechi kati ya Agosto na Namungo yafutwa

Mechi kati ya Agosto na Namungo yafutwa

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,912
Reaction score
40,576
Taarifa fupi toka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF inasema mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu hizo mbili iliyokuwa ichezwe kesho imefutwa kwa sababu ambazo zitatolewa baadaye.

Chanzo: Azam TV.
 
Sawa Sawa
Huku Tutahakikisha Namungo Inashinda Tu
 
Kama wanaogopa iyo maralia mpya waje wakipige uku kwetu mechi zote mbili au neutral ground nchi tofauti na Angola.
 
Back
Top Bottom