Mechi kali leo

Mechi kali leo

Oh! My God! Katavi si ungenyamaza tu bana? Dah! I am worried
A%20S-frusty2.gif
A%20S-frusty2.gif

CC: everlenk, Victoire

hahahaah,,,,,,usiwe na hofu mkuu, yale ya world cup halitatokea tena.
 
Last edited by a moderator:
Katavi wa sasa si wa mwaka jana nimeamini nyota imesafishika BAK amekuwa mnene ghafla huko aliko ukizingatia siku nyingi sana amemisi mambo haya......
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli aisee naona nyota yake imetakata sasa si kama mwaka jana, Hongera zako Mkuu Katavi. Hongera pia kwa Honey Faith kila ukitabiri ushindi basi huwa kweli hujawahi kuja na utabiri ambao uko kinyume....KISMET.

CC: Victoire

Katavi wa sasa si wa mwaka jana nimeamini nyota imesafishika BAK amekuwa mnene ghafla huko aliko ukizingatia siku nyingi sana amemisi mambo haya......
 
Last edited by a moderator:
Khe khe kheeeeee Namuona everlenk leo usingizi umekimbia saa hizi huwa yuko fofofo lakini bado yuko macho kakwazika sana leo na haya matokeo. Pole sana everlenk.
 
Last edited by a moderator:
Katavi wa sasa si wa mwaka jana nimeamini nyota imesafishika BAK amekuwa mnene ghafla huko aliko ukizingatia siku nyingi sana amemisi mambo haya......

Ha ha ha haaah,,,,,,ile nuksi ya world cup haipo tena.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha wale wa tim zao kujeni apa upesi upesi......wekeni maneno apa ya sababu ya hii magoli yote....
 
Attachments

  • 1425958665477.jpg
    1425958665477.jpg
    35.2 KB · Views: 110
Khe khe kheeeeee Namuona everlenk leo usingizi umekimbia saa hizi huwa yuko fofofo lakini bado yuko macho kakwazika sana leo na haya matokeo. Pole sana everlenk.

Hahahahaha!!! Wiki hii utaninyanyasa sana, hongera bana ila ...........nimekuachia sasa ole wako usichukue kombe utanikoma siku hiyo fujo zako cha mtoto Lol
 
Last edited by a moderator:
lol!!!! hahahahahaha hakuna tena wa kusimamisha, ikitokea hivyo itakuwa ni uzembe wa hali ya juu. Ulikuwa unalia au kutokulala? Mbona macho yamevimba? hahahahahaha lol! It was just a game 🙂🙂

Hahahahaha!!! Wiki hii utaninyanyasa sana, hongera bana ila ...........nimekuachia sasa ole wako usichukue kombe utanikoma siku hiyo fujo zako cha mtoto Lol
 
Back
Top Bottom