Mechi 3 bora za wakati wote!

78b15664029c92b7ecb39ab39a37cd49.jpg


Hii ndo mechi ya kukumbukwa na vizazi vyote
 
hUU NI MTAZAMO WANGU...



1. AC MILAN VS LIVERPOOL UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL 2007



Hiyo namba 2 pamoja na ushabiki wangu kwa Chelsea nadhani ndiyo namba moja kwa mashabiki wengi wa mpira...that is true spirit.


2. CHELSEA vs BAYERN MUNICH UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2012 FINAL



....these matches huwa zinanipa nguvu ya kuendelea kupigana maana najua hata pale ambapo dunia nzima itaamini siwezi, kama mimi ninaamini, inatosha...na nitafanikiwa!!! These are matches to talk about...


3. CHELSEA VS BARCELONA UEFA GAME MAY 2009



Mechi ambayo inanifundisha kuwa the world is not fair...nyanyuka pangusa vumbi...move on with life!!!

Upo vizur
 
Mkuu mchochezi nimependa sana uzi wako, ila nna mashaka kidogo na hiyo game ya city na man u. Nadhani ya bayern na man u inastahili kuwepo kwenye list. Game ya milan na liver nadhani ndo ilipaswa kua namba moja, na ya milan na deportivo ibaki pale ilipo maana ilikua ni bonge la gemu. Wakati huo deportivo ilikua deportivo kweli, hapa walter pandiani, kule diego tristan, hapa valeron. Mkoba ulikamatwa na watu kama nurdin naybet na jorge andrade, ilikua sio poa. Kama shabiki wa damu wa milan sitakaa nisahau hiyo gemu, pamoja na ya liver. Ziliniliza
 
Italy 1 South korea 2 world cup 2002 Italia anaanza funga Korea anasawazisha na kufunga la pili zile dakika za goli la dhahabu.

Italy nje mpka wanamtimua mchezaji wa South korea aliyekua akicheza italia kama sikosei ni Perugia
Bado nakumbuka vizuri sana hii game. Jamaa ndo alipiga golden goal, ni kweli alikua anachezea perugia. Alikua anaitwa ahn jung-hwan kama sikosei. Korea chini ya hiddink ilikua sio poa wakati ule
 
Mkuu mchochezi nimependa sana uzi wako, ila nna mashaka kidogo na hiyo gama ya city na man u. Nadhani ya bayern na man u inastahili kuwepo kwenye list. Game ya milan na liver nadhani ndo ilipaswa kua namba moja, na ya milan na deportivo ibaki pale ilipo maana ilikua ni bonge la gemu. Wakati huo deportivo ilikua deportivo kweli, hapa walter pandiani, kule diego tristan, hapa valeron. Mkoba ulikamatwa na watu kama nurdin naybet na jorge andrade, ilikua sio poa. Kama shabiki wa damu wa milan sitakaa nisahau hiyo gemu, pamoja na ya liver. Ziliniliza
Super Depo ilisumbua sana, Diego Tristan, Roy Makaay na Walter Pandiani
 
Simba sc na Mbao fc 2016 japo mi ni shabiki wa simba ila hii game ilinifanya niwapende mbao kwa game tamu.
 
Germany vs Italy semi final world cup 2006.....
Germany anakufa goli 2 kwa 0 ndani ya dk ya 118 na 120....

Fabio Grosso anafunga bonge la bao baada ya kupokea pande maridhawa kwa el maestro pirlo anangalia kushota anapiga kulia.

Alesandro del piero ana wamalizia wajerumani kwa goli safi baada ya counter attack iliyoanzia kwa canavaro, luca toni, gilardino na kumkuta del piero na kumgalagaza jens lehman. Hapo ndipo ndoto za wajerumani zilipoishia.


Natamani kuwawekea clip yake ila jf apps ni jipu linapokuja suala la ku-upload video
copy na paste link kutoka YouTube
 
Back
Top Bottom