Wanajf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. nimechaguliwa kujinga degrii ya hiyo facult hapo juu., kwa wale mlio soma au wenye uelewa na hiyo course,., mechanical & indstry,. soko la ajira na vitu vingine kuhusiana na hiyo,., plz naombeni msaada wenu,. natanguliza shukrani za dhati.