Mechanical engineering vs biomedical engineering

Mechanical engineering vs biomedical engineering

Crispin sam

Member
Joined
Oct 27, 2015
Posts
49
Reaction score
5
Jaman kat ya mechanical na biomedical equipement engineering ip n kozi nzuriiiiiii wana jamv nisaidien
 
wewe mwenyewe akili ndogo wangapi wamesoma hiyo mechanical engineering wanalia njaa
Mimi mwenyewe akili ndogo sijawahi kuona mtu kasoma Mechanical then analia njaa.Watu wanaiogopa mech kutokana na ugumu wake,ndio mana inasoma watu wachache.

Nashangaa unaposema mechanical nikushusha engine yenye oil nikikuuliza unitajie watu wanne unaowafahamu wamesoma mechanical engineering then wanashusha engine hutomtaja hata mmoja.
 
Soma Biomedical yawezekana ukimaliza diploma degree yake ndo ikaanzishwa utakuwa moja ya watu wachache wenye degree ya biomedical
 
  • Thanks
Reactions: MC7
biomedical huwezi huwezi kulinganisha na takataka hiyo
Mechanical ni kozi mama ktk engineering hio civil na umeme hio Biomedical ni sub field ndani ya umeme, Mkuu uliomba ushauri hebu tazama kipi unapenda kwa ushauri wangu tu soma Mechanical mana hio biomedical hata degree hazijaanza kutolewa hapa tz pili ni course mpya ambayo haina jina sana ktk uwanja wa ajili japo ni nzuri pia Diploma ipo Arusha Tech na DIT tu ambapo arusha ni combination ya electrical and biomedical engineering while Dar institute of technology ni Biodemical equipment engineering kama level ya diploma nenda Arusha Atc
 
Mimi mwenyewe akili ndogo sijawahi kuona mtu kasoma Mechanical then analia njaa.Watu wanaiogopa mech kutokana na ugumu wake,ndio mana inasoma watu wachache.

Nashangaa unaposema mechanical nikushusha engine yenye oil nikikuuliza unitajie watu wanne unaowafahamu wamesoma mechanical engineering then wanashusha engine hutomtaja hata mmoja.
anaifananisha mech na AUTOMOBILE ENG.
 
Mm nmechaguliw DIT Mechanical na ATC biomedical ss nawaza niende wap ?!
 
soma kitu unachokipenda.. usije kusoma kwa shinikizo la watu kisha ukaenda ku disco uko chuo.
 
Back
Top Bottom