Serikali haikushindwa kutoa hzo tsh 50 millions kila kijiji.
Bali mambo ya msingi yalifaa tazamwa kwanza.
We utoa hela zote ilhali watu wanahitaji vituo vya afya,maji safi na salama na MIUNDOMBINU bora hyo 50 millions itakidhi hayo kila kijiji??jibu laa.
Hyo million mia na hamsini haiwez nisaidia ht mm budah.
Maana ht bungalow ya uhakika haikamilishi.
Nyie mlitoa rambirambi buddah.
Na ndio kwanza mara ya kwanza kenya imetoa rambirambi tz.
Kagera walipata earthquake mlikua wapi kutoa msaada?mpaka mnaleta blankets ilihali waarabu walishafika wakaanza kuinua had nyumba??
Badala ya kutoa msaada kwa wahitaji mnatoa rambirambi kwa wafu.
Then ndio mara ya kwanza serikali yenu inaipa pesa za rambirambi tz kwahyo usijibarague sana.
NATAKA SIKU MU FINANCE MRADI HT WA $ 5 MILLIONS HP TZ NDIO NITAWAPA RESPECT.
ILA SIO SHILINGI MILLION MIA HAMSINI AMBAZO HT BUNGALOW HAZIKAMILISHI