kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,057
- 2,163
Umepata cha kukojolea mwenzangu !! daah HONGERA
Nna mpango wa kununua hii gari ila kwa kodi hiyo nimeiogopaaaandae kama 11m kama ushuru inaweza kushuka au kupanda kulingana na dollar
Jamaa kakosea nadhan hakuwa na maana total ni USD 2750+1m sio kodi pekee...ni jumla ya na manunuzi(CIF)....Inamaa na ndani ya 11m na hizo USD zimo tayariNna mpango wa kununua hii gari ila kwa kodi hiyo nimeiogopa
Hahaha kodi 100%
Meweka tire na rim 17 inch gar imependeza ila tatizo fuel consumption nahis imekuwa juu na pia gar ikigonga shimo haines hvo yaani ni kuu kuu..Hongera mkuu kwa premio umelamba dume in terms of fuel consumption na service costs. Baadhi ya vitu muhimu unapaswa kufanya service kwa wakati yaani 3000kms but muhimu zaidi utumie oil sahihi...japo zipo oil nyingi but to me mogas no oil nzuri ...si vibaya ukaiinua kidogo ili isichakae mapema sababu ya barabara zetu mbovu...either uweke 15" rim na 3/4 spacer kwa stroke 65" tire au 17" rim bila spacer na 55" tire hasa option ya pili premio zinapendeza zaidi...Mara zote hakikisha tair zako zinaupepo wa kutosha na usiendeshee breki...yani tumia breki zako vizuri...kwa ajili ya emergency usikose spana namba 8,10,12 na 14 kwenye gari yako
Tair ni low profile 215/45 shock ziko sawa..Tairi umeweka stroke ngapi..maana inabidi uweke high profile 45 ,50 au 55 Ila pia chek shockup kama ziko poa
Nikushauri go for brevis, ndio nzuri na inayohimili sana.Wakuu naomba kujua ubovu wa brevis, mark2 verosa. Kwa hizi gari ndogo ipi inaimili milima hasa kwa sehemu zenye minuko pamoja na kwa safari mdefu. Maana nataka mwezi ujao niagize ama ninunue dar
Asante mkuu na vipi ulaji wa mafuta kwa safari ndefu?Nikushauri go for brevis, ndio nzuri na inayohimili sana.
Kuna mtu nilimuuzia, ina mwaka sasa, anapiga safari zote toka ameinunua hadi sasa.
Ameshazunguka nayo mikoa mingi mno mpaka sasa (maana kazi yake. Inamfanya kuwa mtu wa safari za mara kwa mara)
Mkuu, kupandisha gari kwa spacer haju athiri kitu?Hongera mkuu kwa premio umelamba dume in terms of fuel consumption na service costs. Baadhi ya vitu muhimu unapaswa kufanya service kwa wakati yaani 3000kms but muhimu zaidi utumie oil sahihi...japo zipo oil nyingi but to me mogas no oil nzuri ...si vibaya ukaiinua kidogo ili isichakae mapema sababu ya barabara zetu mbovu...either uweke 15" rim na 3/4 spacer kwa stroke 65" tire au 17" rim bila spacer na 55" tire hasa option ya pili premio zinapendeza zaidi...Mara zote hakikisha tair zako zinaupepo wa kutosha na usiendeshee breki...yani tumia breki zako vizuri...kwa ajili ya emergency usikose spana namba 8,10,12 na 14 kwenye gari yako
Asante mkuu kwa msaada wakokilamuruzi Tafuta 250k haizidi laki 3.... Nenda TRA
Kupandisha kwa spacer kukifanyika kwa kuzingatia utaalamu hakuathiri gani but ukifanya kienyeji gari inakosa alignment na balance na Mara nyingine inapoteza shoo..Mara nyingi kutegemea na gari na aina ya maungio ya miguu kwenye bodi..mfano gari zenye wish bone ukiziinua sana tairi zina bend kurudi ndani kama matege ya zile Datsun pickup za zamani...but kitaalamu fundi atapinda round ya mud guard na height ya tair atajua aweke spacer ya inch ngapiMkuu, kupandisha gari kwa spacer haju athiri kitu?
Niko Rwanda lakini nimepata gari imefanyiwa usajiri Uganda. Sasa nilitaka kujua kodi yote inaweza kuwa gharama gani. Naomba mwenye utaalam anisaidiekilamuruzi Tafuta 250k haizidi laki 3.... Nenda TRA