Mdudu ndani ya sikio

solanum

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
203
99
Habari wataalam,

Nauliza hivi ikitokea mdudu kama mbu, inzi n.k akaingia ndani ya sikio itakuaje?
 
Nunua bomba LA cndano jaza maji then mtu ayafyatue kwa nguvu anatoka... Mii aliingia kipepeo akatoka kwa style iyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom