kyenjelakalulu
Member
- Oct 31, 2018
- 18
- 12
Tangu likiwa uaNawaiteni walenga watungaji wa zamani
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
Tangu likiwa ua
Weka picha plsNawaiteni walenga watungaji wa zamani
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?
Nunua embe uje na picha.Weka picha pls
Nawaiteni walenga watungaji wa zamani
Wenye ujuzi kutunga, mafumbo ya kila fani
Kuna jambo lanitinga, mnitoe mashakani
MDUDU KAINGIAJE NDANI YA KOKWA YA EMBE?