hakuna mdudu ka huyo, sasa apo anatembeaje?
anang'ata????
anang'ata????
Hapana ila huonekana kipindi cha mvua kama kumbi kumbi na si wengi kivileanang'ata????
Ninayemjua mimi anaruka sio kutembea tu ila mwenyewe mweusi umbo ni hivyo hivyo kuna kabila moja Singida wanamwita nene (nnenne) na analiwa
Huyo ni mdudu chungu wa kawaida isipokuwa tumbole limejazwa na nectar...
Katika makoloni ya hao wadudu chungu basi huwepo hawa wahifadhi nectar pia...
Umemaanisha nini hapa miss
kung'ata. . ..... ......