Mdudu gani huyu?

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,778
Reaction score
2,052
...
 
Attachments

  • IMG_20230704_234653_767.jpg
    125 KB · Views: 36
Karibu Kuna mifugo yah ngurue
 
Nyumba yako/choo ni chafu hadi imeanza kutoa funza.
Ila huku kwetu mpigamiti hiyo ni mboga na inafuta kama unavyoona senene...πŸ˜‹
 
Ni aina ya funza hupatikana sehemu zenye uchafu jalalani au chooni
 
Nyumba yako/choo ni chafu hadi imeanza kutoa funza.
Ila huku kwetu mpigamiti hiyo ni mboga na inafuta kama unavyoona senene...πŸ˜‹
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†Hata Kule Kipapa
 
🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…