Mdudu gani huyu?

Mnyama piece sana uyo hanaga noma na mtu. Ungemuacha tu akaishi mitaa yake.
 
Karunguyeye,hana madhara.

Kuna dogo wangu mtaani anawafuga hao,maliasili.
 
Kama tabata segerea maneneo ya chama huwa namuona sana huyo mida ya jioni nikitoka mazoezi.

Muache aendelee na maisha yake.
 
Ukiwa na Imani za kishirikina ni mtihani Sana

Ukiona hata unyoya WA kuku nje kwako unawaza mabaya Tu!

Tumuamini Allah ukweli WA kumwamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…