Msomali_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 538
- 585
Wakuu habari zenu,
Hali hii imenitokea jana usiku,japo kwa dakika lakini ilihatarisha maisha yangu sana.Kuna mdudu mdogo jamii ya Moth alining'ata usiku (single bite) nikiwa nimelala aliingia ndani kwa nguo ambazo nilikua nimefua nasubiri kuzipasi.
Mida ya saa 9 usiku nilihisi km mtu anichana na kiwembe na nikahisi am bleedin in my leg,nikaangalia i found nothin nikajua may be i was dreaming. After 30 mins hiv nikaanza hisi mguu unakufa ganzi unakuwa wa baridi alaf nahisi navuja damu wakati ata hazitoki na kuishiwa nguvu, natokwa na jasho lakin my leg is Cold.
Kumbe ni sumu ilikua inasambaa mpaka ikafika usawa wa paja i was feelin it kabisa.baada ya kushindwa amka Then i called my Mam & Dad 6:00 am nkawaishwa hospital sikuweza ata kutembea.
Thank God nilifanikiwa pata sindano za toxic reduction zaidi ya 20 mins na dawa za kutoa sumu mpaka saa 5 asubui ivi nkarudishwa Hom though my condition is not gud at all kabisa mpaka sasa.Maombi Yenu Nahitaji Pia
NB:kuweni makini na huyo Mdudu na ur washed clothes.