Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii

Simbilisi mkubwa, una ona rahisi damu ya mtu kupotea.
Jamaa alikuwa ana lugha kali sana. Unaweza ukawa unakosoa lakini pia unapaswa uchague aina ya maneno ya kutumia. Jamaa alikuwa anatumia maneno ya kuudhi sana.

Hao majambazi waliomteka hawatamrudisha trust me. Jamaa ndo basi tena kama ben saa nane. Hawawezi mrudisha kwa aina ya maneno aliyokuwa anaandika.
 
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salamaView attachment 1089706
Duuuuuh kuna watu hawana uoga kabisa duniani utadhani hawana wazazi makwao sio kwa mdomo huu mchafu. Alafu bado mnasema huyu alikua kiongozi wa watu wenye akili timamu? Aibu yenu wenyewe!
 
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salamaView attachment 1089706
Nyie ndo mnaopotosha umma, kwa hyo kilichoandikwa hapa kinatoa uhalali wa mtu kutekwa!??kuumizwa au kuuawa!?? Kwani mahakama ziliwekwa kwa ajili ya nn??? Aliona katukanwa au kadhalilishwa si ilitakiwa aende mahakamani.!??? Jifunzeni kujenga mantiki.. mambo haya sio mazuri kwenye jamii yanajenga chuki kubwa sana japo hamuoni.. kina sadam, hitler, gadafi na wengine wengi walifanya haya wakidhani wanawanyamazisha watu mwisho wao haukua mzuri, tujiulize tu kwa nn wasijulikana wanafanya yao lkn bado watu wanaendelea kuandika/kusema tu...!??
 
Lugha anayoitumia Jiwe kwa wengine hasa wapinzani wake ni ya kistaarabu ? kuwaambia wanawashwawashwa ,makamongo ,ukimwi nyinyi ,katerero nyinyi ,mwafa ni za kistaarabu hebu jibu hili kwanza .
 
Huyo mdude ni mshenzi tu 'kwa maana ya sio mtu mstaarabu' sijui alikua na hasira gani maana alichokua anafanya ni kutukana tu na hoja za kijinga kuishutumu serikali.
Kuna watu wamedhurika sana na sera za awamu ya tano kutokana na maisha yao kutegemea shughuli za kifisadi na hujuma kwa uchumi wa taifa. Mdude yawezekana ni cheti feki au mtumbuliwa. Mambo mengine ni kujitakia. Mtu unatukana rais unadharau na kutukana dola kila kukicha ukipotea wanaokupa kichwa wanakimbilia kusema umetekwa. Mbona kina yericko malissa g wanapinga serikali kila siku wapo tu hawatekwi.
Hivi Jiwe ni nani mpaka asikosolewe ? mitume wa mwenyezi Mungu mwenyewe wametukanwa ,pigwa ,kuteswa bila kosa ije kuwa Jiwe ,Jiwe ni nani kwa mwenyezi Mungu ni mtu mdogo sana .
 
Mkuu hata mimi nisinge kubali asee

Yaani nahangaika usiku kicha silali nawapigania wananchi kutokea moyoni halafu anatokea mtu tuu anaanza kunitukana matusi

Si sawa kabisa hii
Kama ninalipwa mamilioni ya pesa za walipa kodi na ninaishi maisha mazuri na Familia na kizazi changub chote mpaka vitukuu weshapata Mali za kutosha kwa karibu karne ijayo. Halafu nikasirike kwa sababu ya maneno ya maskini asiye na hata Akiba ya kula miezi miwili.
Ni Dhambi kuu mno na haina msamaha mbele za Mungu kama Mtu mwenye Zizi la Ng"ombe milioni anenda kumwibia na kumdhulumu mtu mwenye Ng"ombe mmoja.

Viongozi wetu wa Afrika wajifunze kwa Mzee Mwinyi na JK. Hasa Mzee Mwinyi. Mungu ampe maisha marefu sana Mzee Ruksa kwa imani halisi na dini aliyonayo imfikishe Peponi.
Wajifunze kwa hawa waislam waliolitawala Taifa hili wakiwa wanabughudhiwa sana lakini walikua wapole na hawakua na visasi na mtu na walikua na huruma kwa watu wote. Hawakujali makabila yao saaaa na kanda zao saaana na dini zao saaana. Walifanya mema lakini walitukanwa na kudharauliwa sana kwa msukumo wa agenda za kisiasa tena ndani ya Chama Chao lakini hawakuruhusu wala kuruhusu watu wasiojulikana kutamba na kutumia mitutu ya bunduki kuteka watu Mara kwa Mara mpaka inafikia mahali inakua kama ni jambo la kawaida.

Hivi ni nani anayeamini kuwa haya mambo ya utekaji ,utesaji ,uuaji, na dhulma zinginezo yatakuwa na Mwisho Mzuri kwa taifa letu?


Huyo Kijana Mdude inaonekana amenyanyaswa sana kwa muda mrefu na vyombo vya dola kwa sababu tu ya siasa ambazo kuna watu na vijana kama yeye ndani ya Chama cha mapinduzi wanazifanya kwa Uhuru na kibabe bila hata kuhojiwa.
Mara nyingine watu wanatumia maneno makali kutokana na kukosekana kwa usawa mbele za wasimamizi wa sheria.


.
 
Mtu anapokosea, apelekwe mahakamani na sheria ichukue mkondo wake
 
1089995
 
yule msela ngoja wamfunze adabu kwanza, akirudi aje kusimulia wengine.
Ni upumbavu wa hali ya juu kumtukana kiongozi tena Rais wa nchi huku unajua kabisa ni kosa kisheria na bado unadhani utatetewa.
Alikuwa anatafuta kiki ya kukamatwa, na ndio ameipata sasa kawa maarufu hata ambao hawakumjua wamemjua sasa chamoto atakiona
 
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salamaView attachment 1089706
Kiongozi huyu Jamaa Mdude ndiye aliekaibua Propaganda ya kuwa Mh Ndiye aliyemshambulia Lissu..!! Nakumbuka Mh alipopost tu kutoa pole kwa Lissu huyu jamaa alienda kureply chini kuwa "Ukiona mtu kawa wa kwanza kukupa pole ujue ndiye mchawi wako", Haitoshi bado majuzi kabla hajatekwa alipost hiki kitu "Nitahakikisha Naung'oa Madarakani Utawala Huu" Jamani...! Nafikiri ata Maria Sarungi kusema huyu lazima atakuwa anashikiliwa na jeshi ni kutokana na ujumbe wake wa Uhaini huu.
 
Yaani nimesoma andiko lako nikajiuliza maswali mengi sana. Hivi nchi yetu haina sheria na taratibu za namna ya kushugulikia watu wanaokiuka sheria kama Kiongozi ametukanwa sheria si zipo zifuate mkondo au viongozi wetu sasa hivi wao ni miungu watu wakitukanwa ni kutoa uhai wa aliyetukana. Hivi kweli nchi hii ndo sasa kuna watu wa kukosoa serikali kwa lugha kali, mbona tangia enzi za Nyerere watu walikuwa wanakosoa serikali. Hii awamu ikikosolewa inashindwa nini kuwashitaki hao wakosoaji, Kwanza ni upotoshaji tu mbona Mtikila alikuwa anakosoa kwa lugha kali anafikishwa mahakamani anashinda kesi zote. Kukosoa Kiongozi kwa lugha yoyote ni haki ya kikatiba kama mtu amekiuka sheria apelekwe mahakamani. Kusema umeona tweet zake ukaona zina lugha kali mbona hakukamatwa na kufikishwa mahakamani badala yake ametekwa. Na hayo magari yasiyo na namba za usajiri yanatembeaje barabarani bila ya kukamatwa na police wa usalama.
Mkuu hakuna aliyethibitisha kuwa serikali ndio inahusika, kuna sehem hapo nimesema kutokana na aina ya lugha yake kuna uwezekano watu wabaya wakatumia huo mwanya huo kumdhuru ili umma ujue ni serikali kumbe sio, kikubwa vyombo vya ulinzi na usalama vitatoa taarifa baada ya uchunguzi wa kina tuwe na subira tusiwe watu wakuhukumu moja kwa moja
 
ukiweka chama na siasa pembeni, japokuwa sikubaliani na yanayoendelea kama ni ya kweli. But ukweli nikuwa huyu kijana hana adabu hata kidogo. Mh. raisi anaumri wa 5th decades huyu yupo kwenye 2nd decades then unaandika maneno kama hayo kwa mtu mwenye umri sawa na mzaziwako. labda kwakuwa hakulelewa na wazazi wake (yatima) Vijana acheni matusi na mjenge hoja. Mchuma janga hula na nduguze. Akina Nondo ni case study ya kutosha...
 
.
Hahahahahaaa!That's beautiful!Kwa hiyo wawe wanakosolewa kwa ukarimu,upole,unyenyekevu,uungwana,utii,ustaarabu,tabia njema,lugha laini,uso mpole,kwa kupiga magoti,kuomboleza,kulia kwa kwikwi,kwa kutia huruma,uzalendo uliotukuka,utu wema,upendo wa roho,fadhila kwa ubinadamu kwa kutendewa uhalifu?Sivyo?Au sijaelewa?Kwa nini watesi na watekaji hao wasipigiwe kelele ili wawe wavumilivu na kujua kujibu hoja kwa hoja?
 
Back
Top Bottom