Mdude Nyagali na lugha yake ya kiukosoaji katika mitandao ya kijamii

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salama
FB_IMG_1557150253663.jpeg
 
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salamaView attachment 1089706
Vijana wa lumumba mna maisha magumu sana
tapatalk_1555008739055.jpeg
 
Wameshamben saa nane

Ukweli inauma
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu,maneno ya kejeli na matusi juu zidi ya Lissu yenyewe ni sawa? Usiangalie upande mmoja tu
 
Tatizo wanaungiwa na kimdudu kichwani anaona mashabiki zake wanavyomfagilia kwenye mtandao ku like anajiona yeye ndo yeye mwache afunzwe adabu na watakoma bado kuna mwingine nae anajiita malisa naona kashasoma alama za nyakati katulia kidogo
Ni kuomba mungu tu,kama hadharani anatoka na lugha za namna hii nafikiri hata majirani zake walikua wanajuta kumsogelea
 
Marekani hata ukimuita Trump shoga furesh tu, japo Chama chake hakikubaliani nao ila hautashitakiwa wala kutekwa.

Tanzania mtu anajiita yeye mwenyewe Jiwe mara kichaa
Tuna mila zetu na desturi ,kuna mambo tunatofautina baina ya taifa na taifa,kuifananisha Tanzania na Amerika ni kitu kisichowezekana ,ispokua utakua unataka kuhalalisha haramu
 
Tatizo wanaungiwa na kimdudu kichwani anaona mashabiki zake wanavyomfagilia kwenye mtandao ku like anajiona yeye ndo yeye mwache afunzwe adabu na watakoma bado kuna mwingine nae anajiita malisa naona kashasoma alama za nyakati katulia kidogo
Wanasahau misala inabaki kwa muhusika mwenyewe,mashabiki kazi yao inahamia kwa mwingine kujaza like
 
Tunachokipinga ni extrajudicial punishment / killings, kama nchi tumejiwekea sheria na mtu anapokiuka hizo sheria ili kuhakikisha haki inatendeka tumejiwekea sheria na kanuni zinazoelekeza hatua za kuchukuliwa kuanzia namna ya kumkamata, kumhoji na kumfikisha mahakamani.

Sasa jeshi la polisi au kitengo kingine cha serikali kinapokiuka taratibu hizo ni usaliti mkubwa na uhalifu wa hali ya juu sana kwa nchi na wananchi wake.

Kuna sababu ya kwanini kiongozi wa nchi anaapa kuilinda na kuitunza katiba, na pale anapoivunja au kuangalia tu wakati katiba inavunjwa ni usaliti wa kiapo chake na anapaswa kushtakiwa bungeni na kuondolewa madarakani kwakua ameshindwa kukifuata kiapo chake!
 
Vijana tumieni elimu zenu katika kujiletea maendeleo,acheni kufanya mambo ambayo yanaichukiza jamii,kutumia jina aka "dingirai jiwe"haikuondolei hatia kwa jinsi maudhui yako yanavyojieleza.

Vijana jikiteni kubuni mbinu ,miradi ,serikali iko tayari kuwasaidia ,vinginevyo mtatengeneza uadui na kila mtanzania.

Hakuna anaependa kutukanwa,kudhalilishwa,kubezwa,kukejeriwa,kudhihakiwa,wote tuna roho za nyama .

Vinginevyo maadui tunawatengeneza wenyewe kupitia kauli zetu,matendo yetu hasi,
Mwisho ,mungu ajalie mpendwa wetu apatikane salamaView attachment 1089706
He deserves to be reminded of his idiocy, in a clear message that he will remember for decades to come.
 
Hata kama ni uhuru wa kujieleza kwa hili hapana
Truth hurts but lies kill...Truth doesn't hurt more than lies.

To someone who is not ready to hear the truth, certainly the truth will appear to hurt. But the hurt is short lived and once the person adjusts to the truth, as he or she should, then there is acceptance.

Lies on the other hand sacrifice a moment's respite for a future of pain.
 
Back
Top Bottom