Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,581
- 13,875
Aisee..Hii nayo ni mada au n comment ulitaka uiweke mahali Ila ukajisahau ikawa mada?
Sio doa tuu Mkuu ni Donda haswaa!Hili ni doa kubwa sana
walio mshikiria ni wapumbavuKinachowaumiza ni kwamba Mdude hawezi funga mdomo, yani siku wakimuachia tu, atasema yote.
Duh!!..hatari sanaKinachowaumiza ni kwamba Mdude hawezi funga mdomo, yani siku wakimuachia tu, atasema yote.
Kwa kweli iwe ya chama kimoja basi kuliko kulitia taifa kwenye mikosi .tu wa ukweli kuwa demokrasia hamuiwezi kuliko kuwapoteza watu kiasi hiki.
Mzanzibari ameshanogewa na damu za Watanganyika halafu wanaomsaidia kugema damu za Watanganyika ni Watanganyika wenzetu.Apatikane wapi? Hapo watesi wake wanasoma tu upepo. Mkijisahau tu na kuacha kupaza sauti zenu mara kwa mara, watampoteza moja kwa moja.
Inashangaza sana aisee! Yaani uko tayari kumuua Mtanganyika mwenzako, kwa sababu tu ya kulinda maslahi ya mkoloni kutoka nchi nyingine!Mzanzibari ameshanogewa na damu za Watanganyika halafu wanaomsaidia kugema damu za Watanganyika ni Watanganyika wenzetu.
soma kitabu kiitwacho rise and fall of socialism,.Wakuu habari za muda huu!.
Kichwa Cha habari kimehusika!.
Vipi kijana mchakarikaji na mpambania uhuru wa kisiasa Mdude Nyagali vipi Amepatikana? Au bado polisi wanahangaika kutafuta kitu wanachokijua?
Maana nilisikia ndo waliomchukua kwake Kwa kipigo kikubwa! Hii haijakaa sawa, kumkamata mtu na kumuadhibu kisa demokrasia ambayo mliikubali, hii haijakaa sawa, ni mara mia muwe watu wa ukweli kuwa demokrasia hamuiwezi kuliko kuwapoteza watu kiasi hiki.
Ni fedheha Kwa nchiHili ni doa kubwa sana