Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,908
- 288,004
😆😆😆😆Mdude to the next level,Mwashambwa naye ajitahidi aende hata Zambia akakutane na chama kilichoondolewa madarakani na upinzani.
Hii comment imekufurahiiisha mwenyewe 🤣😆😆😆😆
ni ya kibabe sanaHii comment imekufurahiiisha mwenyewe 🤣
Sidhani kama umejua chochoteNimefurahi Mdude kupata exposure. Itamsaidia kubadili namna ya kufanya siasa zake. Enzi za Mbowe alitumika sana kama chambo.
Chizi to the next levelMdude to the next level,Mwashambwa naye ajitahidi aende hata Zambia akakutane na chama kilichoondolewa madarakani na upinzani.
Mapambano yanaendeleaMpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.
Wewe endelea kuvishwa fulana za Mama Ongea na mwanao au Samia queensChizi to the next level
achilia mbali kiingereza cha uyole,Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.
HahahaaaaWewe endelea kuvishwa fulana za Mama Ongea na mwanao au Samia queens
Kwani huyo mdude ni nani huko chadema...kimekuwa kama jalala nzi wanaruka ruka tu...nasikia wamekwenda kumfariji mkimbizi asiyetafutwa wala kuwa na matatizo nchini kwake mariah sarungi!Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.
Unateseka ukiwa kibaigwa eneo gani?Kwani huyo mdude ni nani huko chadema...kimekuwa kama jalala nzi wanaruka ruka tu...nasikia wamekwenda kumfariji mkimbizi asiyetafutwa wala kuwa na matatizo nchini kwake mariah sarungi!
Mtashangaa sana Wajinga nyie!Hahahaaaa
Mimi Sina Fulana wala mama….
Mmepoteza direction kabisa
Nawaza chadema ya akina halima na slaa, hadi chakadomoz ya Sativa na sasa CHAKANDUMUZ ya mdude
Regression
Hakuna cha kushangaa zaidi ya kukuona unapnicMtashangaa sana Wajinga nyie!
Can any one share his Book here.Mpigania Uhuru wa Tanzania, Mdude Nyagali amekutana na kufanya Mazungumzo na Mwanasiasa wa Kenya Martha Karua.
Taarifa kamili hii hapa
Nimefurahi kukutana na Matha Karua, kiongozi wa People's Liberation Party (PLP). Matha Karua ni kama Winnie Mandela wa Kenya kwa sababu kipaumbele chake ni haki za Wakenya na si vyeo. Nimefurahia sana kukutana kwangu na shujaa huyu. Nimemkabidhi kitabu kinachosimulia mateso yangu.
Kuna kitu unakitafuta weweMm ndoto yangu ni kukutana na ester bulaya😋