Mdude CHADEMA umejitakia mwenyewe

Sasa kamtetee mahakamani nafikiri kwa hoja hizo anatoka kesho.
 
Waliochezesha hilo picha ndio vituko zaidi.. wanatumia nyundo kuua sisimizi.
kweli kabisa ni uboya na ushamba,kodi yetu imechezewa,imetumika kumsafirisha huyo malaya Arusha to mbeya plus Mdude kala 1.7 M
 
uko sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kamtetee mahakamani nafikiri kwa hoja hizo anatoka kesho.

Haitaji msaada wangu

Yupo well taken care of

Tatizo ni wenye madaraka badala ya kufanya kazi ya maendeleo,wao wapo busy kuwekea watu madawa ya kulevya ili wawafunge kwa uonevu!

Which shows kuna watu hawajui wajibu wao sawasawa!

Shame on these lunatics!
 
Unadhani ni vibaya unapokuwa unanenepesha ng'ombe kumuondolea kunguni, viroboto na kupe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…