Mduara wa Uongozi Tanzania. Tuwe makini

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,474
6,147
Kama watanzania hatutamua kwa dhati kusonga mbele,tutaingia kwenye mduara wa uongozi,,vicious circle of leadership.

Awamu ya tano inafanya juhudi za kuirejesha nchi kwenye hali nidhamu lakini ya mdororo wa ustawi wa uchumi,hali ya vitisho kama awamu ya kwanza.

Baada ya awamu hii,awamu ya 6 itakutana na hali mbaya ya uchumi na vyovyote itakopa busara za awamu ya 2.Kadhalika na kadhalika.Nchi haitosonga bali itazunguka.

Badala ya kila awamu kuja na prepared agenda ya maendeleo,yenyewe inakuja kurekebisha makosa ya mtangulizi na kujitahidi kuharibu legacy ya mtangulizi.

Ni vyema kama nchi tukawa na sera,mambo ya msingi na mipango kikakati ambayo kwayo ndio viongozi wapimiwe. Kuliko ilivyo kwamba tunawapima hasa kwa chama gani.

Vicious circle of poverty plus visious circle of leadership=?
 
Kwa ccm wanajua hilo? Wenyewe wamekaza shingo wanaimba mbele kwa mbele hawajui cost ya hayo maneno
 
acha hofu, usiogope kesho mambi yatakuwa mazuri kijana hakikisha unafanya kazi legal
 
Back
Top Bottom