Mdomo kuwa mchungu

Mdomo kuwa mchungu

Kitaalamu hiyo inaitwa phscholohical google ujione, yaani apo ni kwamba hormones zko active
 
Zinaitwaje mkuu
Hapo Sasa inategemea na aina ya kisukari kuna Cha kupanda, kushuka, na Kuna insulin resistant ambayo hiyo insulin resistant unaweza tu kuendelea kutumia sukari ya kawaida kwa kiasi kinachoruhusiwa na magnesium ukarudi sawa, ila Sasa hiyo iliyopanda ndo mpaka Dr akuandikie utumie aina Gani ya vidonge vya sukari, Kuna ya kushuka nayo inavidonge vyake ila hii ya kushuka unaweza kuwa unatumia na sukari guru hata robo kijiko kwa siku ili mwili upate nishati wakati unapambana na matibabu, hiyo ya kupanda hata glucose ya drip huruhusiwi kutumia yenyewe ni vile vidonge vyake tu, hivyo lazima ujue una kisukari Cha aina gani.
 
Type two diabetes mkuu .
 
Type two diabetes mkuu .
Hiyo unaweza kutumia sukari guru hata mara tatu kwa wiki kwenye chai, siku ukitumia unatafuna na vidonge viwili vya magnesium kwa siku, hivyo usitumie sukari hii ya kawaida.
 
Amina mkuu , ngoja nikaitafute hiyo sukari Guru
 
Back
Top Bottom