Mdogo wangu kabambikiwa

nendeni mkadai mahari yenu
mi ndo maana siku zote niko against na hii biashara ya mahari sijui kulipiwa mahari mambo yenyewe ndo kama hayo Fidel. Kaidaini hela yenu

zaa wako umuozeshe bure
 
Huyu duu chai tuu tena wala hampendi dogo wako yaaani angebugi ambonjoroke naye ilikuwa ntolee huyo kid angeambiwa wake..niamini mimi
 

Hehehehehehe dunia bana duuu
 

Briliant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…