Mdogo wangu anaweza kusoma A level?

markbusega

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
826
Reaction score
850
Habari wana jf!

Ninamdogo wangu alihitimu mwaka Jana ana div 3 ya 22 ameharibu michepuo karibu yote ana C 6 za kemia, baiolojia, jiografia kiswahili civics na,English historia d,phys na math f anaweza kuchaguliwa kweli hata mchepuo wa cbg kwa while za serikali ninawasiwasi kwa vile hesabu ana f kwamba hawatamchukua sababu mchepuo huo pia wanasoma heaabu

Karibu kwa maoni
 
CBG hawezi kuchaguliwa tatizo mswaki wa no mtafutie private school atasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…