Yaani mdogo wako mpaka sasa hajijui? Suala la yeye kuchagua fani ni muhimu zaidi kuliko suala la wewe kuona inafaa au haifai?
Hakuna fani isiyokuwa inalipa, tatizo inalipaje, lini italipa na nani wa kukulipa.
Dental therapy ina uhakika wa kuajiriwa serikalini na kulipwa wastani wa mshahara wa 400,000/= kwa mwezi(Basic salary).
Faida kubwa inakuja anapoweza kujiajiri mwenyewe na kupata wateja, mtaji mkubwa wa kuweza kujiajiri ni kupata venue nzuri town(kodi wastani wa laki mbili) na Dental chair(cheap inauzwa 2ml) na Dental machines(New
Portable yenye compressor inaanzia kama 7ml)