Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,922 Dec 5, 2019 #21 Kila la kheri... Cc: mahondaw
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,313 Reaction score 46,823 Dec 5, 2019 #22 Mtakuja hata kutiana nyie..
Scorpio Me JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 6,119 Reaction score 7,952 Dec 5, 2019 #23 Kwani wewe huna mashost umpe?? Au madogo wa mashost pia??? Mitandaoni humu sio poa.
Baba Joseph17 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2013 Posts 9,518 Reaction score 9,806 Dec 5, 2019 #24 Ana GPA ya ngapi? Maana inaonekana alikuwa anasoma kwa bidii hata wasichana alikuwa hawaoni Queen Latifah said: Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious He is 24 black and tall Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor Pm me if interested Click to expand...
Ana GPA ya ngapi? Maana inaonekana alikuwa anasoma kwa bidii hata wasichana alikuwa hawaoni Queen Latifah said: Mambo zenu,nina mdogo wangu wa kiume kamaliza chuo na anatafuta mtu serious He is 24 black and tall Hii ni kwa wadada tu I want to do him a favor Pm me if interested Click to expand...
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Dec 5, 2019 #25 Kila la kheri
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,980 Dec 5, 2019 #26 Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?
Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!?
kiboboso JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 9,351 Reaction score 12,706 Dec 5, 2019 #27 Nanoli said: Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!? Click to expand... Ya ngoswe mwachie ngoswe mkuu
Nanoli said: Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!? Click to expand... Ya ngoswe mwachie ngoswe mkuu
Mcqueenen JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 7,312 Reaction score 12,765 Dec 5, 2019 #28 Nanoli said: Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!? Click to expand... Umeme upo kila sehem hata mtaan hawa hawa wa Jf ndo tunakutana nao makanisan na misikitin
Nanoli said: Ushaambiwa humu ndani watu wapo kwenye dozi,.. Line kubwa ya umeme wa taifa umeunganisha wengi,... Na wewe unamtosa mdogo wako aunganishwe!? Click to expand... Umeme upo kila sehem hata mtaan hawa hawa wa Jf ndo tunakutana nao makanisan na misikitin