Mdogo wangu anatafuta kazi ya driver

Mdogo wangu anatafuta kazi ya driver

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Nina mdogo wangu anatafuta kazi ya udereva ana uzoefu mkubwa na anaendesha magari makubwa na madogo anavyo vyeti vya VETA na chuo cha usafirishaji.

Naomba kwa wenye ma kampuni au mtu mwenye magari yake atakayehitaji ampigie simu kwa namba zake hizi hapa:
0713 857031.
Au yeye atakayehitaji atoe namba yake ili mimi nimpatie atawasiliana naye
Asante
 
Leo pspf wametoa kazi,pia nafasi ya drivers zipo.Ajaribu.
 
UNDP na wizara ya kilimo kuna nafasi za kazi za udereva.

watakubali aliyemaliza darasala saba tu? Maan ni kazi sana siku hizi wantaka fom 4 ndugu yangi ula kujaribu siyo dhambi nitamwambia ajaribu tu
asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom