Kusamehe si lazima, na mwisho wa yote wote tutakufa.Adui namba moja wa taifa hili ni ccm wote walioko huko wapo kwaajili ya maslahi yao tu na si taifa hili na raia wa nchi hii.
Wapo tayari ccm ishinde kwa damu ili tu walinde wanachoiba.
Wakuu mdogo wangu anayenifuata wa kike amemkataa mama yetu kabisa kwa madai kwamba ana maumivu makali sn juu ya mama sjui walifanyiana nn wao ndo wanajua sasa.
Iko hivi mimi na huyo mdogo wangu tulilelewa mazingira ya bila mama mimi kwa aunt ambaye mi ndo nilijua ni mama yangu na wakati huohuo mdogo wangu yeye aliishi na mzee.
Binafsi nilikuja mjua mama au kuonana naye kwa mara ya kwanza nikiwa nimehitimu std 7 hata skuwa naamjua na wala yeye hakunijua mpk tulipotambulishwa aisee.
Kwa kifupi hatuna mapenz na mama kbs maana waliachana na mzee tukiwa bado wadogo sn na kisa cha kuachana binafsi nmekuja kujua ukubwani ni mambo mazito sn yaliyochangiwa na nduguze na mzee akina aunt inaumiza sn mambo ya wanadamu hawa 😪😪
Sasa leo nilipata taarifa za mama anaumwa hawezi hata kutembea chakula chenyewe shida maana anaishi kwa kutegemea kilimo tu kwaiyo yupo kitandani ni mgonjwa anaumwa madonda yanamsumbua bs nikawasiliana na mtu nitume hela wamnunulie chakula kidogo.
Nikaamua kumjuza na mdogo wangu akasema yeye kuwasiliana na mama hapana sababu hana bond naye na haya mama ndo aliyataka na ana maumivu makali sn juu ya mama yetu ambayo kashindwa kusamehe kbs.
Binafsi nimemsihi asamehe imekuwa ngumu kwani anadai bora angefanyiwa na mtu mwingine bt siyo mama mzazi.
Imebidi nikubaliane naye tu hakuna namna, ila wazazi jamani muwe makin na watoto wenu mambo yako na mumeo au mkeo yasikufanye usahau watoto wako aisee utaishia kuwalaani na kuwalaumu tu ila inaumiza sn maana hata mimi mama yangu sijiskii kbs kwamba nina mama ni ile bs tu sa tafanyeje na ndiye mama sina mwngne kama yeye.
Changamoto nyingine mama naye waganga wa kienyeji aliwahi kuja kwenye shughuri fulan akawasiliana na mwanamke niliyekuwa naishi naye akamwambia eti ampelekee soksi yangu au kaoshi ambayo ina jasho langu sjui alikuwa anavitaka vyann huwa nikikumbuka nachoka sn jamani daaaah ila mama yangu mama yangu 😪😪😪 Mungu amrehemu tu.
KAMA KUNA MWENYE USHAURI, MAJUNGU, KEJELI, MATUSI KARIBU.
Kabisa naunga mkono hoja yako👏Kusamehe si lazima, na mwisho wa yote wote tutakufa.
Imeandikwa,Adui namba moja wa taifa hili ni ccm wote walioko huko wapo kwaajili ya maslahi yao tu na si taifa hili na raia wa nchi hii.
Wapo tayari ccm ishinde kwa damu ili tu walinde wanachoiba.
Wakuu mdogo wangu anayenifuata wa kike amemkataa mama yetu kabisa kwa madai kwamba ana maumivu makali sn juu ya mama sjui walifanyiana nn wao ndo wanajua sasa.
Iko hivi mimi na huyo mdogo wangu tulilelewa mazingira ya bila mama mimi kwa aunt ambaye mi ndo nilijua ni mama yangu na wakati huohuo mdogo wangu yeye aliishi na mzee.
Binafsi nilikuja mjua mama au kuonana naye kwa mara ya kwanza nikiwa nimehitimu std 7 hata skuwa naamjua na wala yeye hakunijua mpk tulipotambulishwa aisee.
Kwa kifupi hatuna mapenz na mama kbs maana waliachana na mzee tukiwa bado wadogo sn na kisa cha kuachana binafsi nmekuja kujua ukubwani ni mambo mazito sn yaliyochangiwa na nduguze na mzee akina aunt inaumiza sn mambo ya wanadamu hawa 😪😪
Sasa leo nilipata taarifa za mama anaumwa hawezi hata kutembea chakula chenyewe shida maana anaishi kwa kutegemea kilimo tu kwaiyo yupo kitandani ni mgonjwa anaumwa madonda yanamsumbua bs nikawasiliana na mtu nitume hela wamnunulie chakula kidogo.
Nikaamua kumjuza na mdogo wangu akasema yeye kuwasiliana na mama hapana sababu hana bond naye na haya mama ndo aliyataka na ana maumivu makali sn juu ya mama yetu ambayo kashindwa kusamehe kbs.
Binafsi nimemsihi asamehe imekuwa ngumu kwani anadai bora angefanyiwa na mtu mwingine bt siyo mama mzazi.
Imebidi nikubaliane naye tu hakuna namna, ila wazazi jamani muwe makin na watoto wenu mambo yako na mumeo au mkeo yasikufanye usahau watoto wako aisee utaishia kuwalaani na kuwalaumu tu ila inaumiza sn maana hata mimi mama yangu sijiskii kbs kwamba nina mama ni ile bs tu sa tafanyeje na ndiye mama sina mwngne kama yeye.
Changamoto nyingine mama naye waganga wa kienyeji aliwahi kuja kwenye shughuri fulan akawasiliana na mwanamke niliyekuwa naishi naye akamwambia eti ampelekee soksi yangu au kaoshi ambayo ina jasho langu sjui alikuwa anavitaka vyann huwa nikikumbuka nachoka sn jamani daaaah ila mama yangu mama yangu 😪😪😪 Mungu amrehemu tu.
KAMA KUNA MWENYE USHAURI, MAJUNGU, KEJELI, MATUSI KARIBU.
Mhudumie mama achana na story za jinsi alivyowatelekeza mkiwa wadogo. Na huyo dada yako mwambie unamuelekeza amsaidie mama humuombi. Halafu ishia hapo. Akimsaidia sawa. Asipomsaidia muache.. Usimfuatilie. Usijiingize kwenye mjadala mrefu na mtu yeyote, akiwemo huyo sister wako, kuhusu historia ya mahusiano kati ya baba yako na mama yako. We jua kwamba kusaidia mzazi wako ni fursa ya kipekee.
Wasome hapa na kuelewaa.Imeandikwa,
waheshimu baba na mama yako ili uishi miaka mingi na heri duniani,
na wahenga wakasema,
asie funzwa na ***** atafunzwa na ulimwengu.
Inafaa muwe makini sana katika maisha yenu, lakini kuweka wazi madhaifu ya mama yenu hadharani namna hii, ni sawa na kumvua nguo zote na kumuacha mtupu hadharani,
na kwasababu mmeshakua watu wazima inawapasa kufanya kazi kwa bidii na kuondokana kabisa na dhana potofu au chuki dhidi ya mama mzazi yenu mzazi alietangulia mbele ya haki.
Kumbuka,
siri ya kuishi miaka mingi na kuinjoy kheri za dunia hii ni kuheshimu baba na mama hata kama tayari wametangulia mbele za haki [emoji205]
Una matusi ya hovyo sana.Hiyo familia wote nyinyi wanawake?