Mdogo wa Ex wangu simuelewi!!

Usifanye hivyo,hata kama huyo Ex wako alikuuma kiasi gani kwa kukuacha usifanye unyama huo! Maana unaweza ukaja ukasababisha maafa makubwa katika familia yao kwa sababu Dada mtu akijua atamchukia sana mdogo wake na kwa nini usababishe wafikie huko? Je wewe utapata faida gani labda? hebu kabla hujafanya jambo lolote fikiria mara 2 kama hicho kitendo watafanyiwa Dada zako je utakifurahia?
Kama sivyo, basi mweleze tu huyo shemeji yako kwamba mazoea yawe na kikomo chake, akupe heshima yako
 
Hataki ushauri mkuu [emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
Bikr* kama hizo cyo za kuacha nyoosha tu...
Tutakuletea ugali maharagwe segerea
 

Acha ujinga mtafune
 
Kulingana na maandiko, Yakobo alimuoa Recho na Dada ake (Rebecca) kwa pamoja... So kama kwa yule mtumishi haikuwa na shida, sidhani kama na kwako itakuwa na shida.
 
Kama unadhani una uhuru wa hadi kutembea na shemeji yako..watch out..not to that extent..kila uhuru una mipaka yake
 
Yani ningekula mana Katiba inaruhusu mtu mukiachana kuwa na mwingine Matapishi Hayalambwi
 
Bahat kama hizi sjui kwann huwa hazinikuti mimi??!!
Hata ushauri nisingeomba
 


Nipe namba yake nimsalimie, huyo anakuchezea akili tu wewe maana alishakuzoea tayari.
 
Mtombe tui maana hakuna namna maisha haya ...pia hayana formular
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…