Mdogo mdogo Wahaya wanarudi kuwekeza kwao. Bukoba itarecover one-day hata Kama serikali haipajali

So far sijaona kabila lenye wanawake wenye mafanikio na elimu kubwa Kama wanamama wa kihaya.
Na huko bukoba ndo wanafanya Mambo makubwa.
Mfano mama Regina zachwa huyu ana kampuni kubwa la urembo nchini
Wengine Kama Mama abayo anayemiliki kiwanda Cha abayo
Angalia wakina madamu Rita wa bongo star search
Angalia wanawake wenye akili Kama zamaradi mketema
Angalia wakina professor birungi nk
Na bukoba ndo kuna shule zaidi za watoto kike nchini Rugambwa,omwani, kajumulo Alexander, bukoba sec high school,hekima girls,Josiah girls nk nk

Lakin wabongo wengi wanavyowasema wanawake wa kihaya unaweza fikiri wanawake wa kihaya kazi yao ni kujiuza tu wakati hao ni asilimia chache Sana ya wanawake wa kihaya ambao wengi wanamafanikio binafsi Bila kuu waume zao
Ma zamaradi naye muhaya kheee... siyo muha?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Punguani mkubwa, endelea kuchati humu maendeleo utaletewa mfukoni mwako.

Kufananisha mchaga na muhaya ni sawa na kufananisha AK47 na bastola.

Wachaga wako very far ever.
We xmass nenda segera ndo ujue kuna watu na sii vidudu mtu,
Foleni kuanzia chalinze unadhani wanaoendesha hayo magari huko wanakotoka wameacha nini na huko wanakoenda kuna nini hebu vuta tu picha.
Acheni kua majuha wa mtandao
wachagga bana ukiwabananisha wanaporomosha matusi
 
Punguani mkubwa, endelea kuchati humu maendeleo utaletewa mfukoni mwako.

Kufananisha mchaga na muhaya ni sawa na kufananisha AK47 na bastola.

Wachaga wako very far ever.
We xmass nenda segera ndo ujue kuna watu na sii vidudu mtu,
Foleni kuanzia chalinze unadhani wanaoendesha hayo magari huko wanakotoka wameacha nini na huko wanakoenda kuna nini hebu vuta tu picha.
Acheni kua majuha wa mtandao
Wako far ya wapi wakati miundombinu ya huko bado ni shida tupu kama maeneo mengine
 
Punguani mkubwa, endelea kuchati humu maendeleo utaletewa mfukoni mwako.

Kufananisha mchaga na muhaya ni sawa na kufananisha AK47 na bastola.

Wachaga wako very far ever.
We xmass nenda segera ndo ujue kuna watu na sii vidudu mtu,
Foleni kuanzia chalinze unadhani wanaoendesha hayo magari huko wanakotoka wameacha nini na huko wanakoenda kuna nini hebu vuta tu picha.
Acheni kua majuha wa mtandao
Sasa hapa hoja iko wap unayotoa.

Wachaga mkiambiaga ukweli mnakimbilia kutukana
 
Kuna watu hawataki kukubali lakini huwezi kumtenganisha Mhaya na Bukoba hata awe wapi. Wahaya wengi wameshafanya vitu kama hivi
Screenshot_2021-10-04-11-34-20.jpeg
 
Sasa hapa hoja iko wap unayotoa.

Wachaga mkiambiaga ukweli mnakimbilia kutukana
Hujaona hoja kwa kuwa huna akili ya kujua hoja na viroja.
Wahaya mnatia mwingi viroja kisa kamhaya kamoja au tuwili tumejenga basi generalization inaanza.

Kwa wachaga ktk nyanja ya transport pekee muhaya(bwenga) anaingia mara mia
 
Back
Top Bottom