jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 19,092
- 35,901
Sawa..ingewekwa hata kibeta mwanzoni huku.Acha waiweke huko. Lakin kyakairabwa sio porini tayari mji ushafika huko na kupita kabisa.
Pale ilipo inabana Sana na inasababisha foleni
#MaendeleoHayanaChama