JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Adui mkubwa wa mwizi ni Mlinzi.Kwakifupi Mimi sitaki kufahamu nani anawadhamini nachojihuliza Mimi kwanini hawa waasi wawashambulie hawa wanajeshi ambao awana hatia hivyo bila shaka kunajambo waasi walifanyiwa na hivyo nao wameamuwa kulipiza .maana baadhi ya wanajeshi wanao toka nchi masikini wakienda nchi Fulani kulinda amani nao wanakuwa wanajiongeza .