changeni2,, cjuwi za ruzuku mmepeleka wapi? Au mnapima upepo,, tatizo michango isiyo na risiti mnapenda hata ofisi hamuweki yaani mmekaa kitapeli2 tuwape nchi bila dhamana? Au hamjuwi maana ya chama cha siasa mmeangalia kukimbilia ikulu tuu bila hata ya kufanya maandalizi, tunajuwa jambo la kugeuka ni rahisi sana pamoja na manenoyenu mazuri na ya uwongo mmevutia wa2 wengi na kuwaamini lakini wenye akili tukiwaangalia usoni mmhh. Embu jiulize kuchangia madawati hawataki, kuchangia hata visima hawataki na maendeleo yeyote kwa wananchi wanawakataza kuchangia lakini kuchangia chadema ni halali huu ni upuuzi gani? Ila tuwachangieni tuu.