lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 789
- 384
Kibongo bongo waajiri wengi ni waongo..unapiga interview au kutuma maombi wanakuambia subiri majibu ndani ya wiki mbili lakini majibu unaweza kupata baada hata ya mwezi huko..kwaio mkuu kuwa mvumilivu tuNakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine
Dah pole kweli lazima ukae πNakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine
Dogo kazi pekee ambayo unaweza kuitwa ni ya mshahara wa Tsh.200,000 tu! Hizo za 1.5m au zaidi usipoteze muda wako. lazima ukaeNakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine
Nakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.

MDH Kuna uchaga mwingi Sana pale... Wafnykaz wengi wanawakeKama kazi ni ya MDH na hauna koneksheni ishakula kwako
Kwa MDH tamaa tukate tu ili tukipat tushkur Sana n tukikosa tuone kawaida wakuu
Nakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahii kipim
Oral itakuwa jumatatu mtaalamNakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine
Shukrani sana hata mimi wameshanipigia.Oral itakuwa jumatatu mtaalam
Ukichaguliwa wewe hapo hakuna upendeleo ila ukiachwa tu; kuna upendeleo. Huo tunaita ubinafsiNakumbuka tulifanya Interview ya kuandika jmosi iliyopita na wakatuhaidi kwamba jumaatatu watapigia waliofaulu kwenda kwenye Oral Interview lakini mpaka sasa hatuelewi kama washaitana kindugu au mchakato bado kweli.
Katika ule usaili mpaka natoka kwenye chumba cha mtihani nilikua na uhakika wa kufaulu kwa asilimia 95% kwahiyo hiki ni kipimo tosha kwangu kujua kama kweli huwa wanaajiri yeyote aliefaulu mtihani au wanaendesha zile interview kama formality wakati tayari washaandaa watu wao wa kuwaajiri.
Mana kila ninaemuuliza ambae nilifanya nae usaili nae anasema bado hajasikia tetesi zozote kama washaita watu kwaajiri ya Oral Interview au la.
Kuna yeyote humu ambae alifanya ule mtihani siku ya jmosi ? Kama yupo na ana update zozote tafadhali tunaomba atujuze
Sio lazima waniite mimi hata kama nimefaulu ila ni kitu kizuri kujua kwamba mchakato flani ushafanyika ili tupunguze matarajio hata kama wameshaita watu wengine
Omba radhi sasa kwa kuwachafuaShukrani sana hata mimi wameshanipigia.
Hiyo ni wewe umesemaKwastahili hii unaonekana utakuwa na majungu sana ukianza kazi