Mdee: Sitishwi na mbwa ninaowafuga

Kwa kinachoendelea sasa hivi uthubutu wa kauli kama hizi hutoka pale ambapo ukosefu wa rule of law unapokuwa climax/peak.

Kwenye hili Wa kwanza anaepaswa kulaumiwa hapa ni wananchi ambao ndiyo wenye nchi kwa kukubali hali kuwa mbaya kiasi hiki.
 
Wapumbavu namba yao inaongezeka
 
Mashujaa wa wapi walikuwa wanabebwa na serikali tu Sasa wenyewe wamejichanganya na issue ya kikokotoo serikali imewamwaga
 

Mchukieni akawasaidie, [emoji23][emoji23][emoji23] mfa maji haachi kutapatapa
 
Halima na wenzake wamekuwa wanawake mashujaa hata kama watapoteza haki zao jasho na mchango mkubwa walio toa ndani ya chadema,ipo siku ukweli utajukika

Chadema mnapambana na wanawake au hamna kazi ya kufanya?

Acheni kujificha kwenye uanawake. Mbona kwa akina Zitto, Mwigamba na Kitala hamkusema ni wanaonewa kiss wanaume. CHADEMA haicheki na kima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…