hexacyanoferrate
JF-Expert Member
- May 15, 2014
- 1,232
- 792
halima mdee ni Wa kufungwa akanyee ndoo kama shekhe ponda.
Nani aliwahi kwenda jela kwa kuandamana?
halima mdee ni Wa kufungwa akanyee ndoo kama shekhe ponda.
Polisi wetu wana tabia ya kufanya mambo madogo yaonekane makubwa, na mambo ya maana wanayapuuzia. Ni aibu sana, na dalili mbaya kwa Watawala.
Kosa dogo kama hilo, unashangaa miguvu mingi na ulinzi wa kutisha wakati kesi kubwa kama utoroshaji wa wanyama nje ya nchi Mtuhumiwa anatoroka kilaini, majambazi yanapora mchana kweupe na kuuwa watu na kutoroka kama vile polisi hawapo.
Vv
Mimi nataka afungwe kabisa hili jike dume.
adhabu ya kuandamana bila
kibali ni nini?
_anayeijua hiyo sheria aweke
hapa wakuu..
_tangu nimesikia hizi kesi
hakuna hata mmoja
ameshawahi kwenda jela
kwa kosa la kuandama labda
hiyo sheria haipo
Nani aliwahi kwenda jela kwa kuandamana?
na kwa kuongezea ,hivi mbunge huwa ana kinga fulani?ya kutokamatwa kisanii?adhabu ya kuandamana bila kibali ni nini?
_anayeijua hiyo sheria aweke hapa wakuu..
_tangu nimesikia hizi kesi hakuna hata mmoja ameshawahi kwenda jela kwa kosa la kuandama labda hiyo sheria haipo
Waislam kwenye maandamano ya sheikh Ponda, waislam tumeliweka hili kwenye kumbukumbu zetu
Tumia akili yako vizuri, makosa yao hayafanani.halima mdee ni Wa kufungwa akanyee ndoo kama shekhe ponda.
hivi ana mume au watoto asingechezea maisha yakemimi nataka afungwe kabisa hili jike dume.