Hivi ndivyo mwanafunzi wa form4 2012 alivyojibu pepa ya kiswahili.
Swali: Eleza hatua za kuandaa MDAHALO.
:
Mwanafunzi akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi.
1. Unachukua mdahalo wako unauosha vizuri.
2. Hakikisha mdahalo wako haujakomaa.
3. Bandika sufuria yako jikoni.
4. Weka mdahalo wako kisha uache uchemke kwa dakika 15.
5. Mdahalo wako ukiwa tayari uepue.
6. Mdahalo huu unaweza kuula na kinywaji chochote cha baridi ama cha moto..