Mdahalo wa vijana- Nshamba, Muleba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mdahalo wa vijana- Nshamba, Muleba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Omulangira, Oct 23, 2012.

 1. O

  Omulangira JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapendwa makamanda, wapambanaji na wapenda mabadiliko ya nchi yetu. Vijana wa CHADEMA wa Tarafa ya nshamba, Wilaya ya Muleba, Mkoani Kagera wanaandaa mdahalo mkubwa utakaofanyika Nshamba mjini kwenye ukumbi wa Bantu tarehe 21/12/2012. Mada itakuwa ni (Maandalizi ya vijana kuelekea uchaguzi mkuu 2015).

  Mnaalikwa kuandaa presentation ya mada hii tajwa hapo juu kwani tunahitaji watu angalau 4 wa kutoa presentation kwa ajili ya kuwaasa vijana.
  Lakini pia vijana wanahitaji majembe kama matatu kutoka ngazi ya kitaifa kwa ajili ya kuongeza hamasa zaidi kwa vijana na wanajamii ya Muleba. Tunategemea baada ya mdahalo pia ipigwe mikutano ya hadhara kwenye maeneo 3 tofauti.

  Tunakaribisha michango yenu ya mawazo, hali na mali na tusaidieni ni kwa jinsi gani tunaweza kupata majembe kutoka ngazi ya taifa na logistics zote za kuwapata.

  Wasalaam.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  M4c forever
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Ok wasiliana na Viongozi wa CDM mkoa pale bukoba japokuwa Ofisi masaa yote imefungwa
   
 4. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Suala la Lwakatare kupewa Ukurugenzi na kuendelea kushikiria Uenyekiti wa Mkoa linaiangusha sana CDM Kagera. Wangekuwa wamepiga hatua sana lakini kwa kuhodhi vyeo, mafungu na maamuzi anakwamisha sana maendeleo na ukuaji wa chama. Kwa bahati mbaya sana Wajumbe wa CDM hapa Kagera ni waoga sana kusema. Wahaya wanamazoea mabaya sana ......Kakitandugaho!
   
 5. n

  nemasisi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 1,881
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mngeongea na lwakatare amtafute mnyika na ester wassira ingependeza na naamini hawezi kushindwa kuwapata, lakini pia kama mtawakaribisha baadhi ya madiwani wa bkb mjini wanaweza kuleta mchanganyiko mzuri wa mawazo..
   
 6. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,740
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Emirembe ebe nainywe!
   
Loading...