J JUMA JUMA JF-Expert Member Joined Jan 5, 2013 Posts 843 Reaction score 1,024 May 23, 2024 #1 Mwenyekiti wa UVCCM (T) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) atashiriki katika Mdahalo wa KITAIFA kuhusu Miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na UTEKELEZAJI wa Ajenda za vijana utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention. TAREHE: 25/5/2024
Mwenyekiti wa UVCCM (T) Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) atashiriki katika Mdahalo wa KITAIFA kuhusu Miaka 3 ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhusiana na UTEKELEZAJI wa Ajenda za vijana utakaofanyika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention. TAREHE: 25/5/2024
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 45,278 Reaction score 37,073 May 23, 2024 #2 well done. kila la kheri comrades🐒