Mdahalo wa katiba ITV

Mdahalo wa katiba ITV

asante kwa taarifa mkuu ..nipo namwangalia hyu dada kristina kamili...
 
bado rais ana nguvu kubwa sana katika mswaada huuu mpya
 
Mkuu thanx kwa info ila ungeweka title ya kudistungish

Mdahalo wa katiba live ITV::

Namsikiliza dada mwanasheria hapa black is beuty
 
asante kwa taarifa mkuu ..nipo namwangalia hyu dada kristina kamili...

huyu kamili hajajiandaaa anaongea as if yuko kwenye debate za for one..hamna kitu hapa..hebu ampishe shivji alete vitu vya maana...wanasheria wa tumain hawa
 
Mc sijui ni mwenyekiti anaonea sana bana
 
huyu kamili hajajiandaaa anaongea as if yuko kwenye debate za for one..hamna kitu hapa..hebu ampishe shivji alete vitu vya maana...wanasheria wa tumain hawa

hakuwa na mtiririko mzuri kabisa.....
 
ngoja nkaone na mimi loh! nsije kosa uhondo. baadae wakuu
 
prof anasema huu mswaada usomwe kwa mara ya kwanza na nsio ya pili kama anavyotaka selina kombani
 
huyu kamili hajajiandaaa anaongea as if yuko kwenye debate za for one..hamna kitu hapa..hebu ampishe shivji alete vitu vya maana...wanasheria wa tumain hawa
mkuu hapo kwenye kala unamaana .......................
 
prof anatatiririka zaidi kuwa katika kuwa huu mswaada mpya bado raisi kapewa mamlaka makubwa sna....
 
endeleeni ku2juza wengne tv zimeunguzwa na umeme unaokatikakatika na kurudi kl saa.
 
anatoboa ukweli.

Katrace source.kwamba katiba mpya ni ndoto.
Selina kombani na werema vikwazo katika katiba mpya.
 
huyu jamaa ni noma,anasema wafanyakaz hawajasahau kaul za kipind cha uchaguzi,bado wako imara
 
Back
Top Bottom