Nimehesabu tupo 95 cash.
- Msanii
- Kiraka
- Tristan
- Kitia
- tzjamani
- Katavi
- Kigogo
- Akili Kichwani
- FirstLady1
- mtuwawatu
- Libasket b
- King of Kings
- 2c2
- A Lady
- Moelex23
- EmmanuelTZ
- Mathias
- golder
- Dabu
- Shomari
- Dedii
- Tekelinalokujia
- Mwasi
- Zak Malang
- kamalaika
- muonamambo
- mambomengi
- Kibanga Ampiga MKoloni
- Interested Observer
- Mag3
- matambo
- Shilla
- Kudi Shauri
- ADUI
- epigenetics
- Mfwatiliaji
- Kbd
- Freetown
- Gurta
- david2010
- Ndege ya Uchumi
- GodfreyTajiri
- Advocate Jasha
- DICTATOR
- Utamaduni
- MC
- Mutu
- Mfunyukuzi
- Sn2139
- Anfaal
- kisu
- Elli
- Babuyao
- liganga4
- LoyalTzCitizen
- manz98
- Kodabosi
- admissionletter
- nyani<abiziani>
- Geeque
- Chimunguru
- Mp Kalix2
- mosesk
- Mafuluto
- Pasco
- Chomachoma
- General
- macho_mdiliko
- Mazingira
- munjira
- shiumiti
- malipula
- Jembajemba
- Mkulima mimi
- Rugemeleza
- junior2008
- DCONSCIOUS
- Kimey
- mzozaji
- saturnin
- urasa
- Mnyisunura
- lyangalo
- kazidi
- muafaka
- mndebile
- Abraham Lincon
- engmtolera
- Brooklyn
- coby
- Future Bishop
- simiyu
- emalau
- Darwin
- fundimchundo
Du ndio maana anaogopa(Kikwete) midahalo.Amenikosha kuhusu majibu la swala la Kagoda. Kamtaja Rostam na Mkapa kwamba wahusika. Anasema ndo maana JK anakuwa na kigugumizi kuhusu kuzungumzia ufisadi.
Hata mimi sijaelewa.
Waambie ndugu zako waliopo Bongo wampigie kura tarehe 31/10/2010.He is the true messiah! Akichukua urais narudi bongo!!!!!
Mbona yule mwingine anaogopa midahalo,hana uwezo wa kukabiliana na maswali ya papo kwa papo
Tanesco walikata umeme Shinyanga lilipofikiwa swali la Kagoda, jamaa yangu kaniarifu.
heee ndo maana umeme umekatika apa yani mi nim epata hasira mji mzima umeme umekatika na my pc is run off charge sijui ntapataje updates
Kweli tumeamka
Sisi wooote tupo hapa
Nimehesabu tupo 95 cash.
Naipenda JF. nami napata live kupitia mdau hapa JF
Angedondoka....haki ya mungu mkwere angezimia kwa maswali haya..Yaani huyu Dr.Slaa kamtaja Mkapa na Rostam live?????? duhhhh
Poleni sana wakazi wa Shy.saa 1 na dakika 56 ikiwa swali la kwanza limejibiwa umeme umekatika ndani ya mji wa shinyanga. updates jamani.