Mdahalo kwa wagombea Uraisi....

Mdahalo kwa wagombea Uraisi....

airGrid

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
973
Reaction score
784
Hawa njano na kijani kweli wame M'misi sana Raisi wa awamu ya 5, Mh. Lowassa, wanajitahidi sana angalau hata wakae karibu naye...wamekuwa wazuri lini wakulazimishia midahalo? nani anashida na midahalo, baada ya kupigwa chini kwenye kampeni wameibuka na mbinu M'BADALA..."MDAHALO" hilo ni jiwe kuu la pembeni,

Mdahalo wa Lowassa ataufanya na wapiga kura wake, hiyo midahalo yenu FEKI hatuna haja nayo, mbinu zenu za kizamani tushazishtukia mutachora chini MWAKA huu...
 
kweli Chadema mmeshikiwa chini, mnajua kua mgombea wenu hawez kusimama muda mrefu na wala hawez kuongea ndio maana
 
  • Thanks
Reactions: nao
kweli Chadema mmeshikiwa chini, mnajua kua mgombea wenu hawez kusimama muda mrefu na wala hawez kuongea ndio maana

OK, ok, isiwe NONGWA, tutawapa First lady Mama Regina.....:dizzy:
 
Hiv midahalo ni jambo la kizamani?....Mimi kwa sasa nipo kwenye mdahalo hapa Landmark wa wagombea ubunge wa jimbo la ubungo yan mpaka kubenea yupo........mdahalo umeitishwa na azam tv siyo ccm.....hivi ni kwa nini kwenye ngazi ya urais ukawa wanakuwa wakali?....

Taarifa....hapa wagombea wote wamekaa na wala hawajasimama na siyo masharti kusimama

midahalo ndiyo siasa za kisasa.....sasa ukawa mbona mnataka kutuangusha kwenye hili ......

mdahalo utaandaliwa na taasisi huru...na huwa wanatoa taarifa kabla hata kampeni hazijaaanza na ukawa wanajua kwani taarifa wanazo kitambo sasa huu wasiwasi unatoka wapi?...
 
OK, ok, isiwe NONGWA, tutawapa First lady Mama Regina.....:dizzy:

Mkuu huu ni mdahalo wa wagombea na siyo ma first lady lazima rais wetu mtarajiwa awepo na si vinginevyo.......nitaikitika sana kama mh lowassa hatakuwepo ..
 
Midahalo ya nini wakati wao kwa miaka 54 wameshindwa kutimiza ahadi wanazozitoa wenyewe bila kulazimishwa kwenye midahalo...???
 
Hiv midahalo ni jambo la kizamani?....Mimi kwa sasa nipo kwenye mdahalo hapa Landmark wa wagombea ubunge wa jimbo la ubungo yan mpaka kubenea yupo........mdahalo umeitishwa na azam tv siyo ccm.....hivi ni kwa nini kwenye ngazi ya urais ukawa wanakuwa wakali?....

Taarifa....hapa wagombea wote wamekaa na wala hawajasimama na siyo masharti kusimama

midahalo ndiyo siasa za kisasa.....sasa ukawa mbona mnataka kutuangusha kwenye hili ......

mdahalo utaandaliwa na taasisi huru...na huwa wanatoa taarifa kabla hata kampeni hazijaaanza na ukawa wanajua kwani taarifa wanazo kitambo sasa huu wasiwasi unatoka wapi?...

Hivi mnaagenda gani ya siri na huu MDAHALO? narudia tena manake naona sijaeleweka TUTAWAPA MAMA YENU "REGINA"!!
 
tuna mtaka mwenyekiti wenu kwenye mdaharo wa ricmond na escrow

hiyo ya kunadi ilani hata kenye website ipo nenda kasome ilani kwenye website
 
kuna mwaka che nkapa aliwahi sema ilani ya chama chake haitekelezeki, hata ilani yao ya miaka 10 chini ya vasco Dagama a.k.a JK imetekelezwa kwa 0.01% sasa huo mdaharo utabadiri nini zaidi ya porojo tu.

mbona ukawa tuliwaita kwenye maridhiano wakati ule wa bunge la katiba wakagoma, kwa kuwa wamenusa kushindwa ndo wanjidai wazlendo zaidi hata kutaka midaharo, wamishachelewa
 
Hatutaki mdahalo na magamba! Lowasa endelea jimbo kwa jimbo hadi 25/10! Yaonekana mdahalo huu una agenda ya siri!
 
Ukawa kuanzia mashabiki wao mpaka huyu mgombea wao kamwe hawawezi kukubali mdahalo sababu ziko wazi wanazijua huyu bubu hawezi midahalo ila angekua slaa yaani ungewaona wanavyolazimisha kwa sasa wamebaki na visababu ambavyo havina kichwa wala miguu.
 
Back
Top Bottom