BONGE BONGE
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 3,721
- 2,110
....imekaa vizuri, wasimchukue tu huyo Ngeleja, tuoneKesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
Ili mradi tu wale 'wazee wa Dar es salaam' wasijazane huko...!
Ili mradi tu wale 'wazee wa Dar es salaam' wasijazane huko...!
Wazee wa Dar-es-Salaam wamekukosea nini? Mijitu yenye udini na ubaguzi utayajua tu you have issues dude get a life!!!