Mdada wa stationery anatafutwa

Babu Kijana

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
587
276
Ofisi ipo kinondoni na mfanyakazi awe anaishi maeneo ya karibu, awe anajua program za ms word, excel, publisher,power point n.k
Please awe anajua kweli sio kubahatisha kuna kipindi nilitoa tangazo mtu anapatikana lakini namfanyia interview hata kuchapa barua inamshinda, kama mtu hana uhakika naomba aache tu.

Awe serious na kazi mshahara maelewano. Atakaekuwa tayari anipm.
 
Naomba nafasi hiyo pse nina uzoefu ila mm ni mtu wa makamo sio mdada ni mmama. Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom