Mdada wa saluni ya kike anahitajika

Mdada wa saluni ya kike anahitajika

Morrice shemu

New Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Habari zenu, naitwa adam nipo dodoma mjini maeneo ya nkuhungu natafuta msichana/mdada wa saloon anaejua kusuka, kuset na kuchana mitindo ya aina yote ( mtaalam ) mshahala ni 80000 chakula juu yangu. Namba yangu ni 0718921255
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom