Mdada unayeitaji mchumba, usiache kutizama hapa

Mwanamke uliempenda ukaishi nae ndani for life,ata akatike mikono thamani yake haipungui ata.
Wewe umesema asiwe mnene sana, akinenepa maana yake kivutio chako kitaisha na utaanza kutafuta mwingine asiye mnene sana au utavumilia kuishi na mtu ambaye hakuvutii tena?!, maana wewe unavutiwa na asiye mnene sana.
 
kajogooo wika tuliza mabawa , kajogoo wika tuliza mabawa, jamani acheni niringe nimepata mchumba
 
Hivi huwa wanapataga huku kweli, maana me sio mwenyeji san huku
 
Anapigishwa mazoez, diet za kutosha ikibid dawa nzur zipo za kupunguza unene mtoto kpotable anabak anakuwa anamkunja tu.....
 
M. Nadhan appearance n ktu muhimu sana
I see, appearance!!
Yaani kama tu umevutiwa na muonekano wake hata kama hamuendani mitazamo, hamsikilizani, tabia zake zinakukera ni sawa tu kwa kuwa anamuonekano unaoupenda?
 
I see, appearance!!
Yaani kama tu umevutiwa na muonekano wake hata kama hamuendani mitazamo, hamsikilizani, tabia zake zinakukera ni sawa tu kwa kuwa anamuonekano unaoupenda?

Mkuu acha kutudanganya hapa.....mvuto wa mtu ni combination ya mambo mengi likiwemo hiyo appearance. Ina maana hapo unaangalia vigezo vyako sikiwemo hilo. .....kama apoearance unaikubali mambo mengine hujayapenda ina maana huyo hakufai na kama mambo mengine umeikubali ila appearance haikuvutii kabisa bas huyo vile vile si wako...yuko mwingine atavutiwa nae
 
Anapigishwa mazoez, diet za kutosha ikibid dawa nzur zipo za kupunguza unene mtoto kpotable anabak anakuwa anamkunja tu.....
Ok, ndio maana umesema muonekano au umbo ni jambo la muhimu kumbe umfocus zaidi katika kitendo cha ndoa.
All right, mimi huwa niko tofauti kidogo na watu wengi, kwangu kuoa au ndoa ni zaidi sana ya kitendo cha ngono(samahani kwa kukiita kitendo cha ngono).
Kwangu mimi, ningemshauri mtu anayetaka kuingia kwenye ndoa kutoa kipaumbile katika mambo mengine na wala sio katika kitendo cha ngono.

Lbda siko sahihi, ila huwa ninashangaa kuona mtu yuko excited kuingia kwenye ndoa na sababu inayoonekana wazi ni kwa ajili ya kufanya hicho kitendo cha ngono, to me it is a subsidiary act of less importance.
 
Sasa mkuu bora yupi, mnaeendana kwenye tabia, mienendo na mitazamo lakini muonekano mbaya,
Au msiyeendana kwenye kila kitu ila ana umbo zuri?
 
Sasa mkuu bora yupi, mnaeendana kwenye tabia, mienendo na mitazamo lakini muonekano mbaya,
Au msiyeendana kwenye kila kitu ila ana umbo zuri?

Bora mwenye navyo vyote....tabia na appearance inayokuvutia...kwani hawapo?
 
Wewe umesema asiwe mnene sana, akinenepa maana yake kivutio chako kitaisha na utaanza kutafuta mwingine asiye mnene sana au utavumilia kuishi na mtu ambaye hakuvutii tena?!, maana wewe unavutiwa na asiye mnene sana.

Nimeamua kuwa honest tu,mwanamke chibonge sio chaguo langu...Ikitokea akanenepa sana baadae na tushakuwa kitu kimoja sidhani kama itapunguza thamani yake kikubwa upendo maana ata mie sitobaki hivi hivi alivyonipenda milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…