The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 11,201
- 14,777
Habari wakuu dada zangu !
Naandika nikiwa na moyo mweupe na mapenzi ya dhati juu yenu na ntakayo yasema yanatoka kwenye uvungu wa moyo wangu kwenu na Mungu anisaidie.
Zama zimebadilika sana swala la uamuzi wa kuoa ,maisha ya ndoa na talaka limeathiliwa sana na technolojia na utandawazi ,ni zama ambazo tunashuhudia taarifa zinatembea kupita nyakati zozote wazee wetu walipata kuishi na ushauri wa wazazi haufanyi kazi na hakika hautafanya kazi leo tena kama ambavyo wetu hauta faa karne zijazo.
Zamani kijana aliondoka kwa wazazi ili akaungane na msichana aliyempenda wakajenge mji,siku hizi wananaacha wazazi ili wakajenge mal indo ziite mke.
Nisipoteze muda mimi kama mwanaume niwatajie yafuatayo myazingatie il mpate wenzi wenu wa maisha ,mtanisamehe ntatumia perspective za kikristo mahali (Naamini katika mume mmoja mke mmoja) katika kushauri wakuu ,naomba nianze :
1.Angalia sana namna unahusiana na wanaume
Maishaa ! wanaume huwa hawawachukulii serious ma-Tom boy ,wewe ni mwanamke na mwanaume aliumbwa mbinafsi anataka kukumiliki peke yake ,na trust me wanaume tukikutana na watu waliosoma na wake zetu tunawaheshimu sana waki –keep distance so mabo ya kuwa na vi true friend vya kiume my dear unapoteza maksi kuwa na kiasi sasa wewe mamitoko na wanaume unadhani kuna wa kukuchukulia serious.
2. ULEVI
Hakuna mwanaume anayependa mwanamke mlevi ila baadhi yetu hatuna tatizo na kunywa kiasi unakuta mdada ndo first date analewa njwii halafu anacheza ‘’unatoa hutoi na rafiki zako a’’ mbaya zaidi ‘’anakamatia chini ‘’ naapa kwa jina la bashite hakuna anaewaza kuwa na userious na wewe ,wachangamkie rafiki zake kiasi epuka namba zao ,ukiongea nao wakati hayupo msifie na wasifie unaipenda kampani yao ,usihoji private matter zao ,trust me huwa wanakujadili na wao na bwanako wanajuana ,so please mind you glass love.
3.MIZINGA
Hili nimelipigia mstari ,dada zangu wapendwa duniani mtu yeyote mwenye akili nzuri na nidhamu ya pesa ,aweza kuwa tajiri,so unapokuwa approached na mwanaume piga interview ya kutosha ..ok niwe straight don’t date losers , mtu mnaonana baa anakunywa henessy 140,000 halafu anaishi nyumba ya kupanga please love kick the rat out ,huyo muongeze kwenye list ya wanaume uliowakataa kistaarabu na kumfanya broo,kuna mambo ni kuji cheap mwanaume umeridhia ulale naye asubuhi anasema shika hii 30,000/= ya nauli ,it’s a trick anataka uende mwanza asikuone tena ,chukua 30,000 kisha mrudishie 20,000 mwambie tax 5000 halafu supu 5000 ,be real ,waume za wake wanaamka kila siku hawaachi hata kumi ila surprise wanampiga wife ka prado wewe kalia vinauli vya Burundi 100,000 na utafia Burundi.Huwa sio mafala we see everything ,Hivi mnatoka out 10 zote analipa jamaa wakati una kazi my dear unachowinda utakipata
4.MADAWA YA MAPENZI
Hapa twende taratibu ,siku zote utambue mungu aliumba upendo natural ila shetani kwa kutumia wanadamu wapenda pesa zako akawapa mbinu ya kucheza nayo ndo manyota ,mamizizi etc kama ipo ipo tu BAHATI HUWA NI BOMBERDIA HAIWEZI KUTUA PASIPO NA KIWANJA CHA NDEGE ,so jukumu lako jenga kiwanja mengine hayakuhusu muachie maulana .
NTAENDELEA …..