Mdada mzuri, tabia za kuku

mhmm utoto mkubwa sana,imagine huyo ni dada au badae mwanao wa kike anafanyiwa ivyo.
Mbali na utoto ni upuuzi wa kiwango cha juu sana.
 
Wewe mwenyewe tabia zako kama kuku tu.Naona mmekutana.
 
Kabisa aisee...!
 

unatudhalilisha wanaume wenzio humu ndani.
 
Unaandika kwa hekima sana tatizo huyo ambaye unamuandikia utoto bado unamsumbua. Hajakomaa akili.
 
Umeandika kwa busara sana. Ngoja watoto wajifunze kupitia haya maandiko yako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…