mdaalo umeisha nilitamani uendele lakini basi

mdaalo umeisha nilitamani uendele lakini basi

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
mdaalo umekwisha salama niimeupenda naona polisi wamezunguka kila kona wakisimamia usalama wa mzee warioba ongera yenu itv hii ni kazi ya tbc lakini imekuwa tofauti siyo tena kituo ch wananchi kimekuwa nii cha wala rushwa
 
aroo unamfahamu ulimboka.
 
Habari MPASUKO
Wanajamvi saa dkk hii nipo makao Makuu Polisi dodoma tukiwa na Mh Kafulila na Mh Mnyaa na Mh machali
Kilichopo Mh Kafulila ametumiwa ujumbe ambao ameambiwa sifa zake hizo bila kujuwa uwezo wa anaopambana nao mwisho wa uhai wake ni leo Kesho ataongea kaburini
Hali inatisha!!
Ndg zangu tuombeeni duwa hali no ngumu sana.
Nipo hapa kutimiza jukumu kama naibu w/kivuli mambo ya Ndani
Nimepewa jukumu hili na huyu bw Ndio namuendesha kwenye GARI langu binafsi
Jamani ndg zangu duwa zenu ni muhimu kuliko chochote kwa huu.

Mh Khatib a.k.a Obama Mbunge wa Konde
 
Back
Top Bottom