Habar zenu wakuu,
Baada ya mihangaiko ya sikU nzima kila mmja wetu Lazima anategemea akapumzike.
Na sehemu nzur ya kuupumzisha mwili, bila shaka kitandani ndo sehemu pendwa zaidi.
Sasa Kuna mda uko kitandani na mwenza wako (anaweza kua Ndugu yako, mpenzi wako, mzazi wako au rafiki yako)
Na umechoka na unahitaji upumzike, Ila ukakumbana na Changamoto zinazopelekea usingizi au mapumziko yako hayo yasifanikiwe Kama ulivotarajia.
Karibuni kwa mjadala,
Tujadili Changamoto tunazokumbana nazo tunaposhea vitanda na watu mbali mbali.
Ndo maana unaitwa mavipunda..Kuna watu wanajamba sana Mkuu..omba usikutane na hizo kitu
Poor JF, na haya pia yanajadiliwaHabar zenu wakuu,
Baada ya mihangaiko ya sikU nzima kila mmja wetu Lazima anategemea akapumzike.
Na sehemu nzur ya kuupumzisha mwili, bila shaka kitandani ndo sehemu pendwa zaidi.
Sasa Kuna mda uko kitandani na mwenza wako (anaweza kua Ndugu yako, mpenzi wako, mzazi wako au rafiki yako)
Na umechoka na unahitaji upumzike, Ila ukakumbana na Changamoto zinazopelekea usingizi au mapumziko yako hayo yasifanikiwe Kama ulivotarajia.
Karibuni kwa mjadala,
Tujadili Changamoto tunazokumbana nazo tunaposhea vitanda na watu mbali mbali.
ππππ inaboa sana jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]View attachment 1991015
Kuna watu wanajamba sana Mkuu..omba usikutane na hizo kitu
Huo ni ugonjwa hata yy hapendi na akishituka ukimwambia anakua mkali anakataaππππ inaboa sana jaman