DENICE ADRIAN
Senior Member
- Feb 14, 2014
- 127
- 30
Ajilaumu kwa sababu gani mkuu?.Ndalichako kafunga st Joseph college ya engineering ameshindwaje kufunga college ya health?.hebu achana na hicho chuo utajilaumu
Siyo 5mil tu Bali ni mil 5.8Tatizo Kubwa la Hicho Chuo Ni Ada kubwa iliyopitiliza isiyolingana na Elimu Husika Kwa Mtanzania Wa Kawaida.
Milioni Tano????????
Wahindi wale hawana lolote ada M6 alafu what you get does not meet the condition c ubabaishaji huo, bora Kairuki or KCMCJamani napenda kujua MD pale St Joseph iko vipi? maticha wapo?
Vipi maabara za maana wanazo? Na ina muda gani hiyo coz toka imefunguliwa!
Mkuu umesoma hicho chuo?,mbona kairuki pia M6?.Wahindi wale hawana lolote ada M6 alafu what you get does not meet the condition c ubabaishaji huo, bora Kairuki or KCMC
Ndiyo ila nmeona kuliko kutoa hizo M6 St joseph ni bora ukatoe Kairuki wako vizur waleMkuu umesoma hicho chuo?,mbona kairuki pia M6?.