i. Kusoma miswada ya vitabu vya kitaaluma na kushauri kuhusu lugha iliyotumika;
ii. Kutoa mapendekezo ya kuthibitisha lugha katika miswada;
iii. Kusaidia kufuatilia kazi za wanataaluma zinazohitaji kuhaririwa;
iv. Kuchunguza makosa ya matumizi ya lugha katika vyombo vya habari nchini na kuyatolea taarifa kwenye mamlaka husika;
v. Kuandika Makala zinazohusiana na masuala ya lugha ya Kiswahili; na
vi. Kufanya kazi nyingine atakazopewa na mkuu wake wa kazi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika kozi za Ualimu au Lugha zinazohusisha somo la Kiswahili kutoka katika chuo kinachotambuliwa na Serikali. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta.